Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, May 17, 2023

FUNDI MKALI WA KUPAKA RANGI HUYU HAPA.

                              Fundi Rama akiwajibika Jana




 


Kama tunavyojua maji ya mvua yanachafura rangi za nyumba, kwa sasa mvua zinaelekea kufika tamati hivyo watu wengi wanapaka rangi nyumba zao kurejesha muonekana mzuri wa nyumba zao.

Suluhisho sahihi la tatizo hilo ni funzi Rama ambaye ni mkali wa kupaka rangi nyumba za aina zote.

Kama hiyo haitoshi Fundi lama atakupa ushauri wa kununua rangi ambazo zinahimili kwa miaka mingi maji ya mvua, pia anautaaramu wa kuchanganya rangi hizo.

 

Ukimuhitaji Fundi rama [Pichani] wasiliana naye kwa namba 0683 57 06 70 kwangu amemaliza jana kwa sasa yuko Free hivyo unaweza kuwasiliana naye akafanya kazi yako kwa ubora wa hali ya juu kwa gharama ndogo sana.

Kabla ya kuja kwangu wiki iliyopita alikuwa Dar akipaka rangi  nyuma ya Mangi, mafundi wako wengi lakini kwa ubora wake ilibidi nimsubiri mpaka alipomaliza kazi huko Dar.

Kwa sababu nawadhamini wasomaji wangu nimeona niwasogezee ishu hii kwa wale wanaohitaji fundi rangi wa viwango vya juu.

 Fundi Rama anausafiri wake ukimpigia atakuja nyumbani kwako fasta kuangalia kazi kisha mtaelekezana kazi na malipo.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...