Na Dustan Shekidele Morogoro,
MWANA Morogoro Bondia Karim Mandonga a.k.a ‘Mandonga Mtu kazi’ Mkazi wa Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro, kesho Juai 26 anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na mpinzani wake mkubwa Shabani Kaoneka
Kuelekea pambano hilo la Dar Boxing Derby wana Morogoro wanamsapati Mandonga huku baadhi ya wakijiandaa kupanda Tren ya mwendokasi [SGR] kuelekea Dar es salaam kumsapoti Mwana Morogoro huyo ‘Salange’ wa Stend ya Msamvu Karim Mandonga[pichani] anayetamba na ngumi yake ya Kilumbilumbi.
Je Mandonga baba Kharid ataibuka kidede na ngumi yake hiyo ya Kilumbilumbi au atachezea Vitasa vikari vya Shabani Kaoneka? Swali hili itajibiwa kesho usiku wa Vitasa.
No comments:
Post a Comment