Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, July 13, 2021

YARIYOJIRI KUMBI ZA STAREHE MWISHONI MWA WIKIM BENDI YA WALUGURU ORIGINAL YATIKISA MJI KASORO BAHARI.

Rapa wa bendi ya Waluguru Og akiwajaza mzuka waneguaji wa bendi hiyo


Mmiliki wa bendi hiyo Sekulu Killer Boya akiwajibika Jukwaani
...Mnengyaji huyu ingizo jipya la bendi hiyo alitia fora kwenye show hiyo ya kibabe
                            Prezedaa Killer Boy Mluguru Og
Bingwa wa kusakata Disco Afrika Mashariki na Kati Miaka ya 90 Maneno Ngedere'Super Ngedele' akilisakata sebene la Waluguru akiwa na dada yake wa hitari Shida Mndolwa, Wawili hao mara baada ya kumuona Mwandishi wa habari hizi waliacha kucheza na kuibua furaha wakimraki Mlala nje. 

lfahameke Mwandishi wa Mtandao huu na wawili hao walisoma Shule moja ya Msingi na walicheza wote ile michezo ya utoto shida Mndolwa alikuwa akiishi mitaa ya Mji Mpya shujaa na Super Ngedere na Mwandishi wa Mtandao huu wazazi wao walipanga kwenye kota za Paju zizlipo Mtaa Makaburi A Mji Mpya.




 

  •         Na Malala Nje Dunstan Shekidele,Morogoro.
  •  
  • BENDI ya Waluguru Origibal ljumaa iliyopita imeuwasha Moto Mkali kwenye ukumbi wa Kambarage Mkoani hapa, huku wanenguaji wa bendi hiyo wakifunika mbaya.
  •  
  • Malala nje aliyetinga ukumbini hapo Mishale ya saa 5 usiku aliwashuhudia wanamuziki wa bendi hiyo inayomilikiwa na Mluguru wa Mkuyuni Matombo Deogratius Alfonce Maarufu Killer Boy,wakiwapagawisha Mashabiki walioongozwa na bingwa wa kusakata disco Afrika Mashariki na Kati Maneno Ngedere’Super Ndedere’ au baba Chichi.


 

No comments:

Post a Comment

DAKTARI NA MTANGAZAJI WAFUNGUKA MAZITO MADHARA YA MTOTO MCHANGA KUKATISHWA ZIWA LA MAMA.

Somo Farha Abraham akiwa studio za Planet Fm. Daktari Sadick Juma akizungumza na Mwandishi wa habari hizi.     Na Dunstan Shekidele,Moro...