Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, July 11, 2021

SHEIKH ANGUSHA DUA WAKATI MSIKITI UKITEKETEA KWA MOTO.

Sheike JassimMwenye kanzu nyeupe] kwa shirikiana na Muumini wake wakiangusha dua wakimuomba         Mwenyezi Mungu auzime Moto mkubwa ulioteketeza Msikiti wao

 


                                                Na Dunstan Shekidele,Morogoro. 

 MUOMBA mungu hachoki iwe kwenye Furaha au Matatizo, kauli hiyo imetimia jana mkoani hapa,kwa shehe Kassim ameangusha dua zito wakati Moto mkubwa ukiteketeza Msikikiti na Bweni la Shule ya Sekondari ya Wasichana ya AT-TAAUN inayomilikiwa na Taasisi ya dini ya Kiislama.

 

Mwandishi wa Mtandao huu aliyekuwa bize kuzunguka ndani na nje ya eneo la tukio kusaka matukio ya chini ya Kapeti alimshuhudia shehe Kassim anyeishi jirani kabisa na Msikiti huo kwa kushirikiana na Muumini wake waliangusha dua la Kumuomba Mwenyezi Mungu kuzima Moto huo.   

Mungu alisikia Maombi hayo ambapo Moto huo mkubwa ulianzia ghorofa ya kwanza bweni la wanafunzi na kushuka chini eneo la Msikiti ulizimwa na Maafande wa Kikosi cha Zima Moto na Uokoaji, na kwamba baada ya Moto huo kuzima Mtandao huu ulimshuhdia Shehe huyo na Muumini wake wakipiga Alfatah huku wakimshukuru Mungu kusikia Maombi yao.

 

Mtandao huu umefanikiwa pia kunasa tukio hilo kwenye Clip Video hivyo ukitaka kushuhudia Mubashara tukio hilo Mwanzo Mwisho zama Yutub ya shekidele online tv.

 

Vile vile muda huu Mtandao huu umefanikiwa kuzungumza na Mlinzi wa shule hiyo sliyefanikiwa kudhibiti kundi kubwa la Vijana waliotaka kuvuka kinguvu kuingia ndani ya shule hiyo ya wasichna kati huo giza likiwa nene kufuatia Umeme kuzimwa Mtaa huo.

 Mwandishi wa Mtandao huu aliyeha kufika eneo la tukio kabla ya Polisi na Zima Moto kufika alimshuhudi Mlinzi huyo akipambana na kundi hilo nini kimetokea endelea kuwa jirani www.shekideletz.blogspot.com na shekidele online tv

No comments:

Post a Comment

DAKTARI NA MTANGAZAJI WAFUNGUKA MAZITO MADHARA YA MTOTO MCHANGA KUKATISHWA ZIWA LA MAMA.

Somo Farha Abraham akiwa studio za Planet Fm. Daktari Sadick Juma akizungumza na Mwandishi wa habari hizi.     Na Dunstan Shekidele,Moro...