Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, July 11, 2021

BAADA YA MBWENI KUUNGUA VIFAA VYAANZA KUWASILI SHULENI.

                   Magodoro yakiwasili shuleni hapo muda huu




MUNGU ni Mwema Wanafunzi wa shule hiyo kwa sasa wanaendelea na majukumu yao kama kawaida

                        Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

Kama kawaida Mtandao huu huchimba habari za chini ya kapeti mara baada ya kutokea kwa ajari ya Moto shule ya sekondari AT-Taaun jana majira ya saa 2 usiku na Mtandao huu kuripoti tukio hilo.

Muda huu Mwandishi wa habari hizi ametinga shuleni hapo kwa lengo la kusaka habari mpya ambapo alipofika alishuhudi vifaa vikiwasilia shuleni hapo.     

 

Ifahamike bweni lililoungua lilikuwa juu ya Msikiti wa shule hiyo.

 

Baadhi ya vifaa hivyo ni Magodoro, Ndoo na Sabuni za kufulia na kuogea, Katika chimba chimba ya kufukua habari za chini ya kapente Mlinzi wa shule hiyo aliyekuwa dhamu jana kuna habari inamhusu kwa sasa hatuwezi kuitaja mpka tutakapofanikiwa kuzungumza nae hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.


 

No comments:

Post a Comment

DAKTARI NA MTANGAZAJI WAFUNGUKA MAZITO MADHARA YA MTOTO MCHANGA KUKATISHWA ZIWA LA MAMA.

Somo Farha Abraham akiwa studio za Planet Fm. Daktari Sadick Juma akizungumza na Mwandishi wa habari hizi.     Na Dunstan Shekidele,Moro...