Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, July 10, 2021

MSIKITI ULIOPO NDANI YA SHULE YA WASICHANA WATEKETEA KWA MOTO


 MSIKITI uliopo ndani ya shule ya Wasichana ya AT-TAAUN lSLAMICK Mji Mpya Manispaa ya Morogoro unateketea kwa Moto Muda huu.habari habari na pichha zaidi zitaruka hewani hivi punde hivyo usicheze mbali na Mtandao huu muda wote

No comments:

Post a Comment

JUMBE WA LEO.

          “Ukichoka kutembea na Dunia. Dunia haitasimama kukusubiri.”   Pichani   Dunstan Shekidele akitembe na Dunia Wilaya   mbali...