Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, July 6, 2021

HARAFU MTU ANAKUAMBIA TUMA NA YAKUTOLEA.

 

Jamaa huyo alinaswa na Kamera za Mtandao huu Kijiji Cha Mlali Wilaya ya Mvomero Mkoani hapa akiwa na lundo la bidhaa kwenye boda boda yake akitoka nyumbani kwake akielekea Mnada wa Mlali. Sipati Picha simu yake ikiita kama atakuwa na uwezo wa kuipokea au ataipotezea.  

                               UMBEYA WA KITAA.

 Ukimtumia Pesa Mama yako hata kama ni kidogo anakupigia simu na kukupa asante. Lakini ukimtumia pesa Mchepuko anakupigia simu baada ya kusema asante utasiki akisema. “Mbona hukuweka ya kutolea My dear”, Ili hali ugumu wa kutafuta pesa ni mara nyingi ni kama huyu jamaa Pichani.

No comments:

Post a Comment

JUMBE WA LEO.

          “Ukichoka kutembea na Dunia. Dunia haitasimama kukusubiri.”   Pichani   Dunstan Shekidele akitembe na Dunia Wilaya   mbali...