TAIFA la watu wa Mungu, familia ya Mungu, duniani kote leo Desemba 25 wanashehereke kumbukizi ya kuzaliwa Mesia Yesu Kristo[Nabii lssa] aliyetajwa kwenye vitabu vyote vya dini.
Kumbukizi hiyo 'Happy Birthday ' imepewa jina la Mery Chrismas ambapo wakristo wote duniani wanaadhimisha siku hiyo kwa kufanya matendo mema sambamba na kwenda nyumban za lbada
Katika hali ya kushangaza Mama Mzazi wa Yesu Bikira Maria mara baada ya kuhisia anaujauzito alipasa sauti akisema
" toka nizaliwe simjui Mwanaume hii Mimba nimeipataje?
Malaika wa bwana akamtokea akamwambia usihofu huyo ni Mwana wa Mungu na utazaa hivi karibu.
Baada ya siku kadhaa mbele Desemba 25 Bikira Maria alijifungua Mtoto wa Kiume ndani ya zizi la Ng’ombe na akapewa jina la Yesi Kristo Mokozi wa Ulimwengu.
Mara baada ya Yesu kufanya maajabu makubwa ya kimungu Wapinzania wake walimteka na kumfunga majeredi na mataji ya Miba wakamtundika msalabani na kumueleza maneno ya dhihaka
Wayahudi hao walimdhihaki kwa kusema _Wewe si unajifanya Mwana waungu jiokoe sasa hapo msalabani"
Baadae walimshusha Msalabani na kwenda kumzika kwa mshangazo wawengi baada ya siku tatu yesu alifufuka, kaburi lake lilifunikwa na mawe makubwa lilifunuka kwa miujiza ya Mungu mwana huyo wa Mungu akapaa Mbinguni kwa baba yake.
FAMILIA YA SHEKIDELE
Familia ya Shekidele kupitia kwa Bi. Tumain Samwel Juma Mshimbula’Mrs Shekidele’Desemba 25 miakaa kadhaa iliyopita Mama huyo alipata ujauzito na kukimbizwa hospital ya Bombo jijini Tanga siku hiyo hiyo ya Desemba 25 alijifungua Mtoto wa kiume aliyepewa jina la Ubatizo Dustan Shekidele.
Hivyo familia hiyo ya Shekidele leo Desemba 25 inaungana wa watu wote waliozaliwa siku ya leo akiwemo Mesi wetu Yesi Kristo. Naendelea
Keki yangu leo nakwenda kuikata na kuila na watoto yatima kwenye moja ya vituo vya kulelea watoto hao huku pia nikiwabebea zawadi kadhaa.
Nakushukuru MUNGU kwa kendelea kunipa zawadi ya Uahi sina chakukulipa Zaidi ya kuendeleakutenda mambo mema yanayokupendeza wewe na malaika wako
“Happy Birthday to Me”
SHUKRANI.




No comments:
Post a Comment