UJUMBE WA LEO.
Siku zote Paka Mwenye busara hawindi Panya Mwenye Mimba.
Hali kadhalika mara nyingi Mbwa hana thamani kwa bosi wake.
Licha ya Mbwa huyo kumlinda bosi wake usiku na mchani lakini baaadhi ya mabosi wengi hawampi thamani Mbwa huyo vile inavyo stahiki.
Tumeshuhudia mara nyingi Mbwa analishwa mifupa iliyobakishwa na bosi wake kiswahiri Cha mtaani analishwa makombo.
Pia bosi huyo na familia yake wanaweza kula wakashina wakiniandaa kulala utasikia hivi yule Mbwa mmempa.chakula?
Pichani Mwandishi wa habari hizi akiwa na Paka wake mida hii ya asubuhi akimuandalia chakula.


No comments:
Post a Comment