Muda huu naendelea kukusanya matukio ya mbio za Magari Afrika zilizoanza Jana Mkoani Morogoro eneo la Tubuyu Mnada wa Ng’ombe uliopo Jirani na uwanja wa Maonyesho ya Kilimo[Nane Nane Kanda ya Mashariki].
Mbio hizo zinazoshirikisha Madereva kutoka nchini mbali mbali za Bara a Afrikas zinaendelea leo eneo la Mkundi na Kutamatika kesho Septemba 21 kwenye Kiwanda cha Tumbaku cha Mkwawa Mkoani Morogoro.
Kwa matukio zaidi endelea kuwa jirani na Mtanda huu muda wote
[Picha na Dustan Shekidele Morogoro].
No comments:
Post a Comment