Wasikie mashabiki wa Simba.
"Yaani mara zote 6 mlizonifunga ni.hujuma.za.nje ya uwanja ndio maana kuna.baadhi ya wachezaji wetu licha ya ubora wao tumewaondoa kikosini.
Pia baadhi ya maamuzi ya marefa yanawabeba nyinyi.mfano gori la juzi linavihashilia vya kuotea.
Mechi ambayo mtani wangu umenifunga kihalali.ni.ile ambayo imechezeshwa.na waamuzi wa Misri"
MAJIBU YA MASHABIKI WA YANGA. HAYA HAPA
"Mtani nilishakuambia kwa sasa mimi.napiga kichwani sicheki na yeyote kama.unasema.gori la juzi ni la.kuotea basi gemu.iludiwe hata kesho nakupiga kabla hata ya misa.ya kwanza haijaanza"


No comments:
Post a Comment