Picha no Ahmed na msomaramani wake Vill Oslaj kulia wakiwa juu ya gari huku wakishangalia.
Picha no 2.3 na 4 Shanto na mdogo wake wakikumbatiana kwa furaha baada ya kuibuka washindi.
Picha no 3 Shantona Weleed wakiwa na watoto zao
Picha no 4 Shanto na Waleed wakiwa na vikombe.
Picha no 5 Waleed wapambe wake akiwa juu ya gari lake lenye rangi nyekundu baada ya kuibuka mshindi.
Na Dustan Shekidele,Morogoro.
WATU wanaposema Morogoro ni Mkoa wa Vipaji.hawatanii wanamaanisha ukweli mtupu, kauli hiyo Imeendelea kuthibitishwa wiki iliyopita baada ya madereva wa magari wana Morogoro watatu kunyakua ubingwa wa mbio za magari Afrika.
Wana Morogoro hao walioshinda ni Ahmed Huwel kutoka kiwanda cha Tumbaku cha Mkwawa Morogoro aliyeshika nafasi ya kwanza na Shanto Nahdy pia kutoka Mkwawa alinyakua nafasi ya pili huku Mdogo wake Waleed Nahdy akitwaa nafasi ya tatu.
TUJIKUMBUSHE
Mwaka 2003 Mwana Morogoro Mwisho Mwampamba alishika nafasi ya pili ya Mashindano ya Big Brather Afrika ‘BBA’ ndani ya jumba la sanaa nchini Afrika Kusini,
Mwaka uliofuata 2004 Mwana Morogoro Seleman Msindi Afande Sele alinyakua Ubingwa wa Mfalme wa Rhymes Tanzania ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam.
Kama hiyo aitoshi Bondia Francis Cheka alinyakua ubingwa wa Ngumi Tanzania baada ya kuwatwanga mabondia mbali mbali ikiwemo familia nzima ya masumbu ya Matumla,
Baada ya Cheka kuchuja kamuachia Grops Mdogo wake Cosmas Cheka ambaye naye aliuwasha Moto ule ule uliowashwa na kaka yake.
Baada ya familia hiyo ya Cheka Kupotea kwenye Ngumi kwa sasa wameibuka Mabondia wengine wana Morogoro Twaha Kassim Maarufu Twaha Kidugu Mzee wa Bendera Chuma Mlingoti Chuma’Show Show’ na Karim Mandonga ‘Mtu kazi’ mzee wa Ngumi kirumbi rumbi,
Kwenye Soka sasa wana Morogoro wako wengi lakini kwa sasa niwataje wachake Dickson Job Kibwana Shomari Abuutwarib Msheri wote hao ni wachezaji tegemo wa Yanga,
Kwa upande wa Simba yupo Shomari Kapombe, Abdulrazake Spear Hamza na Mzamiru Yassim ambao pia ni tegeo la Simba,
Wana Morogoro wengine ni Aishi Manura,Pascal Msindo na Teps Evans wanaokipiga Azam Fc.
Kama kawaida Mtandao huu umekusanya habari kibao za chini ya kapeti hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote,
CAPTION

HII NDIO MORO YA VIPAJI.
WANA MOROGORO MTU NA MDOGO WAKE WANYAKUA UBINGWA WA MAGARI AFRIKA.

No comments:
Post a Comment