TIMU Kabambe ya Arsenal ‘Chama a Wana’ Usiku huu wameiadhibu ‘Kibonde chao’ Manchester United kwa kuichapa bao 1-0 Bao hilo pekee imefungwa mapema dakika 13 na fundi wa mpira R. Calafion
Bao hilo lilitosha kukata ngebe za mashabiki wa Man U walijazana kwenye uwanja wao wa Tofari za kuchoma Old Trafford.
Kwa sasa sisi mashabiki wa Arsenal ni Mwendo wa kupiga ‘Pushapu’pichani shabiki lia lia wa Arsenal Washikabunduki wa London anayejulikana kwa jina la Dustan Shekidele akiwa kwenye matukio mbali mbali na jezi za Arsenal.


No comments:
Post a Comment