Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, July 1, 2025

PAPATU PAPATU FAINALI PLANENT NDONDO CUP









MWAMBA hoi Salum Kihimbwa 'Chuji' akishika kiuno na kuangaia vumbi a Uwanja wa Saba saba baada ya timu yake kufungwa bao  la tatu
Wachezaji wa Mtibwa Richi aiyeitumikia Chaka Bovu[kuia] akichungwa na beki Omari Manga 'Adebayo' wa Damu Chafu




Mshabiki wa Chaka Bovu wakiingia uwanjani kushangilia bao la tatu
....Wachezaji wa Chaka Bovu wakishika viuno baada ya kufungwa bao la tatu

 Rais wa Damu Chafu Papaa Ayub akiwaambia mashabiki kwamba imekwiisha hiyo baada ya timu yake kufunga bao la tatu

.....Wakati mashabiki wa Chaka Bovu wakitoka Uwnanjani Mashabiki wa Damu Chafu walikimbilia mbee ya kamera za Mtandao huu na kufurahia ushinbdi
Shabiki wa Damu chafu akiwaaga mashabiki wa Chaka Bovu walio amua kutoka Uwanjani baada ya timu ya kufungwa bao la tatu


 Picha za matukio mbali mbali ya Fainali ya michuano dume ya Planet Ndondo Cup kati ya wanafainali Damu Chafu Fc na Chaka Bovu Fc iliyopigwa Ijumaa iliyopita uwanja wa Saba saba Mkoani Morogoro.

Kwenye fainali hiyo ya  upande mmoja  Damu Chafu  ilinyakua ubingwa huo kirahisi baada ya  kuichapa Chaka Bovu bao 3-0.

Mtandao huu umeandaa makala Maalumu ya Ligi hiyo iliyokuwa na Msisimu Mwanzo Mwisho.makala hiyo pia itatoboa siri ya Mabingwa wa Kihistori Damu Chafu,kunyakua ubingwa huo Mara mbili mfurulizo.

Hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.Picha zote na Dustan Shekidele Morogoro.

 

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...