Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, April 13, 2025

KIJIWE NONGWA. UKIONA KAFUTA BANGO UJUMBE UMEFIKA

















 

Na Mpekunyuzi wa Mitandao Dunstan Shekidele.
 
Kama kawaida mtumishi wako, kila wiki naweka Bando linalonitembeza kwenye Mitandao ya Kijamii kukusanya jumbe mbali mbali.
 
Miongoni mwa jumbe hizo ni za Kuelimisha, Kukosoa na Maneno ya hekima yanayotukumbusha kuwa jirani na Mwenyezi MUNGU.
Tukutane Wiki Ijayo kwa mabango Mengine yenye Jumbe Moto Moto.

No comments:

Post a Comment

YARIYOJIRI KUMBI ZA STAREHE SIKU KUU YA PASAKA. RUVU STARS BAND YAKINUKISHA MOROGORO.

  Na Mlala Nje Dustan Shekidele,Morogoro. KUSHEHEREKEA Siku kuu ya Pasaka Band ya Ruvu Stars’Wazee wa Kuku na Mayai yake’ kutoka Mkoa ...