MAMIA ya wananchi Mikoa ya Morogoro na Tanga wamlilia mchezaji chipukizi wa timu za Burkinafaso na Mawenzi Market za Morogoro alizozitumikiwa kwa nyakati tofauti zikiwa Ligi daraja la kwanza Tanzania Bara.
Mzazi mwenzie ambaye ni Mwamuzi[Refa] Maarufu mkoani Morogoro ambaye ni Mjamzito ameanguka na kupoteza fahamu jana wakati akimuaga mzazi mwenzie huyo aliyezikwa Leo Mkoani Tanga.
Kama kawaida Mwandishi wa Mtandao huu amekusanya matukio kibao kwenye msiba huo hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote kushuhudia matukio hayo likiwemo hilo la Refa kupoteza fahamu na picha za mchezaji wa Yanga aliyeshiriki Msiba huo.
No comments:
Post a Comment