Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, March 24, 2025

UJUMBE WA NANE LA MUNGU USALAMA WA WATU WAMUNGU.

Mwandishi wa Mtandao huu akiwa kwenye msitu Mnene Matombo Wilaya ya Morogoro Vijiji
........Mwandishi huyo akiwa Juu ya Milima ya Mgeta wilaya ya Mvomero
........Akiwa katikati ya Mbuga ya wanyama ya Mikumi iliyopo Wilaya ya Kilosa

 ...Akiwa juu ya Milima ya Uluguru Kata ya Mlimama eneo la Moning Site Wilaya ya Morogoro Mjini jirani na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro


ZABURI 125.1-2

“Wamtumainio Bwana ni Kama Mlima Sayuni ambao hautatikisika wakaa milele.

‘A Song of degrees They that trust in the Lord shall be as mount zion which Cannot  be removed but abideth for  ever”

Kama  Milima inavyouzunguka  Yerusalema,ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele”

No comments:

Post a Comment

UJUMBE WA NANE LA MUNGU USALAMA WA WATU WAMUNGU.

Mwandishi wa Mtandao huu akiwa kwenye msitu Mnene Matombo Wilaya ya Morogoro Vijiji ........Mwandishi huyo akiwa Juu ya Milima ya Mgeta wila...