Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, March 5, 2025

KIFO CHA MWANASOKA MCHUNGAJI ATAJA WATU 2 WALIO KWENDA MBINGUNI BILA KUPITIA NJIA YA KIFO.

Mtoto Kendi akiendelea kuikumbatia picha ya hayati baba yake
Hayati mswaki kati akiwa nawachezaji wenzake Awadh kambi maarufu awadhi Decco kuia na Mrisho Said Ziko wa Kilosa lfahamike Awadh ni kaka wa refa Raphael lkambi
Mswaki jezi namba 11 akishika kiuno kwa uchungu baada ya timu yake ya Mawezi Market kufungwa ba kwenye mja ya  michuano ya Ligi daraja la kwanza
Mswaki aiyekuwa akimpenda sna mtoto wake pekee Kendi ambaye kwa sasa mtoto huyo naye kwa upend aikuwa akinyeshwa na mpendwa baba yake naye kwa sasa muda wote aiibeba picha ya hayati baba yake
...Mswaki kushoto akiwa na mchezaji mwenzake wa Mawezi Market Mrisho Saidi ambaye ni Mtoto wa mchezaji wa zamani wa Yanga Hayati Saidi Mrisho Ziko wa Kilosa
Fundi wa Mpira Victor Mswaki akimtoka beki kwenye moja ya michuano ya Ndodno Cup iliyopigwa uwanja wa Saba saba
                    Hayati Mswaki wakiwa na Mwanae Kendi
                                Mswaki enzi za uhai wake

 Mchungaji Elibariki Makundi akihubiri kwenye msiba huo


       Na Dustan Shekidele,Morogoro.

MTUMISHI wa Mungu kutoka  Kanisa la Calvary Assemblies Of God’C.A.G’ Mchungaji  Elibariki Makundi amewataja watu wawili  waliokwenda mbinguni bila kupitia njia ya kifo.

Mchungaji huyo kutoka kanisa hilo lililopo kando kando ya barabara ya SUA aliyasema hayo kwenye mahubiri yake aliyoyatoa kwenye lbada ya kumuaga mchezaji nyoka ya soka mkoani Morogoro hayati Victory Reuben Ngome Maarufu ‘Mswaki’ aliyefariki dunia katikati ya wiki iliyopita baada ya kuugua Tumbo kwa siku mbili.

”Hapa duniania kila mtu atapitia njia hii ya kifo  haijalishi una cheo kikubwa, Nimaarufu,tajiri w au ni mzuri sana ukijivuna  unamakalio makubwa utakufa tu  kama alivyokufa huyu kijana Victor ambaye alikuwa maarufu kwenye tasnia ya Mpira”alisema mtumishi huyo wa Mungu na kuongeza kudadavua neno la Mungu.

Watu ambao walikwenda mbinguni bila kupitia njia hii ya  kifo ni wawili tu Enocko na Elia lakini sisi tuliobaki haijalishi wewe ni kiongozi wa dini au kiongozi serikalini tutakufa chamsingi kwetu tuishi maisha ya kumpenda Mungu ili tuwe na mwisho mwema tutakapoiaga hii dunia kama alivyofanya mwenzetu Victori ambaye yuko hapa mbele yetu amelala kwenye hili jeneza”alisema mchungaji huyo na kupokea zawadi ya makofi kutoka kwa umati mkubwa wawatu waliohudhuria  msiba huo uliofanyika nyumbani kwa wazazi wa marehemu mtaa wa Bigwa Kisiwa Morogoro. Hayati mswaki alikuwa mdaku mkubwa wa Mtandao wa Shekidele hadi sasa napata wakati mgumu wa kumbock kwenye ukurasa wangu wa  Facebook nikitumia jina la Shekidele mkudesimba nilichofanya kwa sasa ni kumtag kwenye ukurasa huo kwa nitafanya hivyo kwa wiki moja baadae mungu atanipa ujasili wa kumbrock ingia kwenye ukusara huo wa shekidele mkude simba ushuhudia vitu alivyoandika hayati Mswaki kwenye peji yake hiyo.

 

 

No comments:

Post a Comment

KARUME DAY, MH DIWANI ATOA SADAKA KWA NDEGE NJIWA.

                                    Ramadhan Rajabu                                                      Nassoro Hamoud' Mpemba'    ...