Kwa heri Mwaka 2024 karibu Mwaka Mpya 2025.
Mtandao Pendwa wa Shekidele unawatakia heri ya Mwaka Mpya wadau wote wa Mtandao huu.
Kwa Rehema za Mwenyezi Mungu Mmiliki wa Mtandao huu Dustan Shekidele anawaahidi wadau hao kuendelea kuwapa habari Moto Moto za chini ya Kapeti ambazo huwezi kuzipata popote.
No comments:
Post a Comment