Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, June 13, 2024

PICHA KALI YA WIKI MASTAA WA MOROGORO.




 


Bondia Maarufu nchi Francis Cheka akiwa na Msanii Maarufu nchini wa Muziki wa kizazi kipya Selema Msindi’ Afande Sele’ mwenye kofia walinaswa na Mwandishi wa Mtandao huu kwenye shindani la Miss Morogoro lillofanyika miaka ya nyuma kwenye hotel ya kitalii ya Nashera.

Mastaa wote hao ni wakazi wa Mkoa wa Morogoro, Afande sele akimiliki mjengo kata ya Mazimbu na Cheka akiwa na Mjengo eneo la Kilima hewa jirani na Kiwanda cha Tumbaku.

 Picha no 2 Mwandishi wa Mtandao akiwa na cheka kwenye Pikipiki wakizunguka mitaa mbali mbali ya Mji Kasoro bahari.

Picha no 3 Afande Sele akiwa na Neema Dustana Shekidele.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...