Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, June 16, 2024

KUMBUKIZI.YA MASTAA WA NYIMBO ZA INJIRI


Mastaa wengi wa nyimbo za injiri nchini wanatoka Mkoa wa Mbeya.

PIchani ni baadhi ya mastaa hao ni pamoja na Bahati Bukuku[kulia] Matha Mwaipaja[kati] na Starah Thomas.

  Mastaa hao wakipozi mbele ya kamera za Mtandao huu.



 Picha no 2 Stara Thomas akihojiwa na Mwandishi wa habari hii kuhusiana na yeye kuwa vugu vugu, mchana anaimba nyimbo za lnjiri[za kumtukuza Mungu] na usiku anaimba nyimbo bongofleva[Vimbo za kidunia]

No comments:

Post a Comment

MAJAJI 2 WAHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA KIGOGO WA SUA MAREHEMU DKT MBILU.

         Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa  KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...