Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, May 25, 2024

SALA YA LEO JUMAPILI YA MEI 26.

 

“ Bwana nifanye  chombo cha amani yako.Palipo na Chuki,nipande Upendo,palipo na madhara nipande Msamaha.

Palipo na shaka nipande lman,palipo na kukata tama nipande tumaini,palipo na giza nipande Mwanga.

Palipo na huzuni nipande furaha,kwa jina la Mwenyezi Mungu ninaomba hiv.

Sote tuseme Amen”.

Jumapili ya Leo nimekuja kivingina sikunukuu mstari wowote kwenye kitabu kitakatibu cha Biblia badala yake nimekuja na sala hii inaotupa faraja watu wote wenye changamoto mbali mbali za kimaisha na kiimani.

Kwa msaada wa MUNGU naamini sisi wenye changamoto hizo sala hii itatupa Tumaini na faraja mpya tumtegemee na kumuamini Mungu siku zote za maisha yetu.


 

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...