Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, May 12, 2024

LEO NI SIKU YA MAMA DUNIA




 

    

"MAMA NI MZAZI, MAMA NI MLEZI, MAMA NI MKWE, MAMA NI DADA, MAMA NI SHANGAZI,  MAMA NI TABIBU, MAMA NI MWALIMU, MAMA MCHUNGAJI, MAMA NI UPENDO, MAMA NI NJIA.....NANI KAMA MAMA!

🌹💐🌺🪷🌷🪻

                   CAPTION.

Mama bora kabisa Nesi,Muuguzi ,Mtibabu Tumain Shekidele. Akiwa hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kabla ya kustaafu.

Bi mkubwa Tumaini ndiye Mama yangu Mzazi niliyeketi tumbuni mwake kwa miezi 9.na baadae kunizaa ambao maka sasa kwa Neema ya Mungu naendelea kuishi haoa Duniani, Asante sana Mama kwa Malezi bora.

Kwa sasa Mpendwa Mama yangu yuko kitandani Dar es salaam anaumwa, Kuitia siku hii naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu amponye Bi mkubwa wangu ninayempenda kuliko wanawake wote hapa duniani.

Picha no 2 ni Mpendwa Mama yangu Mdogo Hayati Afande Neema Manase, Kimwili hatuko nawe lakini Kiroho na kiimani tuko amoja nawe hasa tukiukumbuka wema wako kwa watu wote waliokuzungukam hata wasio ndugu zako uliishi nao na kuwasaidi kama ndugu zako, Zaidi hukuwahi kujivunia cheo chako kikubw acha ukamisaa kwenye Jeshi la Polisi nchini. Awari ulikuwa haa Morogoro kabla ya kuhamishiwa Mkoa wa Pwani ulipofanya kazi umaa ukastaafu na kurejea haa Morogoro maka mauti unakukuta ukiw ahaa haa Moro. Wanao na wajukuu wako tunakukumbuka daima, Miongoni mwawajukuu zako wanaokukumbuka ni Neema Dustan Shekidele aliyerithi jina lako. Leo ni siku ya Mama duniani Mama  Afande Neema Manase tunakukumbua sana. Picha na 3 ni Mama zangu wengine Tumain Dustan Shekidele na Mdogo wake Neema Dustan Shekidele , kuitia siku hiyo ya Mama duniani Wanangu Mliorithi Majina ya Mama zangu nimewaa heshima hiyo kubwa na Tumain langu kubwa ni kwetu nikiendelea kuwaombe Neema ya Mungu izidi kuwa juu yenu siku zote za Maisha yenu.

HAPPY MOTHERS' DAY KWA KINA MAMA WOTE WALIO HAI NA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...