Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, May 16, 2024

CHANGAMOTO YA ENTERNET


 

KWA TAKRIBANI SIKU TATU NCHI YETU ILIKUWA NA CHANGAMOTO YA  MTANDAO [ENTERNET].

Kwa sababu hizo Mtandao huu pia haukuwa hewani kwa takribani siku hizo tatu.

Hatimaye jana Mtandao umerejea katika hali yake ya kawaida na sisi tunaendelea na maambano yetu ya kuwahabarisha wananchi. Hivi punde Mtandao pendwa wa Shekidele utarusha habari ya Kidakuzi ya Mke wa Mtu kishikiriwa na Polisi akituhumiwa kukutwa na sio hiyo aliyohongwa na mcheuke wake ambaye naye anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua dada wa kazi za ndani na kumpora simu hiyo ya Kiswaswadu.

Najua habari hii imeriotiwa kwenye nyombo mbali mbali vya habari lakini Mtandao huu unakupa mwendelezo wa habari hiyo, hivyo endelea kuwa jirani na Mtanbdao huu muda wote.

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...