Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, April 21, 2024

UJUMBE WA NENO LA MUNGU.


Mtumishi wa Mtandao huu Dustan Shekidele akipiga goti wakati akifanya maombi  kanisani la KKKT Usharika wa Majengp Kihonda Morogoro

 " Tusisifanye mioyo yetu kuwa migumi kama jiwe.

Yesu Kristo 'Nabii lssa' anabisha hodi kwenye mioyo yetu tumfungulia aingie na kuitakasa mioyo yetu ili End Of the Day kuingia kwenye ufalme wa Mungu


Wafiripi 1. 6-9

“Nami niliaminio  ndilo hili,ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu  ataimali hata siku ya kristo yesu.

Vile vile kama ilivyo wajibu wangu kufikiri  haya juu yenu vyote, kwa sababu  nyinyi  mmo moyoni mwangu, kwa  kuwa  katika kufungwa kwangu na katika kazi ya kutetea lnjili na kuthibitisha  nyinyi nyote mmeshirikiana  nami Neema hii.

Maana Mungu ni shahidi wangu jinsi ninavyowaonea shahuku nyinyi nyote katika moyo wake kristo Yesu

Na hii ndiyo dua yangu kwamba pendo  lenu lizidi kuwa jingi sana katika hekima na ufahamu wote” Hilo ndilo neno letu la Leo Jumapili ya Aprili 21.

                    

.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...