Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, April 13, 2024

UJUMBE WA NENO LA MUNGU.


 

                                  1 WAKORINTHO 8.1-2
“Na kwa habari ya vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanam, twajua ya kuwa sisi sote tunaujuzi, ujuzi uleta majivuno,bali Upendo hujenga
.
Mtu akidhani ya kuwa anajua neno, hajui neno lo lote bado,kama impasavyo kujua
 
” Hilo ndilo neno letu la Leo Jumapili ya Aprili 14.
Yesu Kristo anabisha hodi kwenye moyo wako mfungulie aingie,usiufanye moyo wako kuwa mgumu. 
 
Usijivunie hizo pesa zako utakufa utaziacha, usijivunie hicho cheo chaka cha kazini utakufa utakiacha, 
 
usijivunie huo uzuri wako wa sura na umbo utakufa utauacha, usijivunie hiyo nyumba yako nzuri utakufa utaiacha.
 
Usijivunie hilo gari lako kifahari utakufa utaliacha na isijivunie familia yako Mke, Mume watoto utakufa utawaacha. 
 
Kizuri cha kujivunia ni kutenda matendo mema yanayompendeza Mwenyezi Mungu ambayo kesho ukifa yatakupa tiketi ya kuingia peponi.
 
lfahamike pia kujivunia vitu hivyo sio dhambi, ila dhani ni kuviabudu vitu hivyo na kumsahau huyo Mungu aliyekupa vitu hivyo..
Mwenyemasiki na asikie asiye na masikio[…]



No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...