Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, April 4, 2024

HII KALI.MGANGA ALIYEKUWA AKITOA UCHAWI KWA MWENYEKITI ATIMUAM MMBIO AKITOKEA MLANGO WA UANI


Mganga aliyedaiwa kutoa mapembe nyumbani kwa Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa uliopo Kata ya Mji Mpya Manispaa ya Morogoro ametimua mbia na kuacha matunguli yake baada ya Polisi kutinga eneo la tukio jana usiku.

  Baada ya Mganga huyo kutimua mbio akitokeoa mlango wa uani,


 Waliomkodi Mganga huyo wadakwa na Polisi Mwenyekiti katika hali ya kustaajabisha Mwenyekiti huyo anayertuhumiwa uchawi katinga Polisi na kuwatoa mahabusu watuhumiwa hao ambao ana undugu nao.

 Kwa sasa habari hiyo ndio gumzo katika mitaa mbali mbali ya Kata hiyo na baadhi ya maeneo ya Mji wa Morogoro.

Jioni ya leo Mwandishi wa Mtandao huu amefanikiwa kuzungumza na Mwenyekiti huyo ambaye ameeleza A-Z ya tukio hilo, habari hiyo itaruka hewani hivi punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.

Pichani ni Milima mizuri ya  Uluguru ambayo asubuhi jua huchomoza na jioni  Mwezi huchomoza kwenye milima hiyo kama mwezi huu ulivyonaswa hivi karibuni na Kamera za kisasa za Mtandao huu.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...