Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, April 16, 2024

FAINALI LIGI YA MABINGWA WA MIKOA, MORO KIDS YAJIFARIJI.


 Kikosi cha Moro Kids ‘Wana wa Pakaya’


          Na Dustan Shekidele,Morogoro.

Timu ya Moro Kids ‘Full Vipaji’ leo wamejifariji baada ya kufanikiwa kuitandika timu ya Arusha City bao 3-0 kwenye mchezo wa kumsaka mshindi wa tatu uliopigwa leo jioni kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Fainali ya ligi hiyo ya mabigwa wa mikoa itaigwa kwenye kwenye dimba hilo la Jamhuri kw akuzikutanisha timu ngumu za Hausung Fc ya Njombe na wenyeji Gunnes ya Dodoma.

Kwa mujibu wa kanuni za mashindano hayo Hausung na Gunnes zimefanikiwa kupanda Ligi daraja la Pili, huku Moro Kids na Arusha City zikijiandaa kucheza michezo ya Play Off dhidi ya timu mbili zilizofanya vibaya Ligi daraja la Pili. 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...