Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, March 13, 2024

SIMBA MORO WAINGIA KWENYE MGOGORO MZITO


 

TAWI kuu la Simba Morogoro Shujaa, kwa sasa limeingia kwenye mgogoro mzito uliosabaisha tawi hilo kumeguka makundi mawili,yadaia hali hiyo ndio iliyosababisha uongozi wa juu wa Simba kuiondoa timu hiyo Morogoro.

Kwa sasa Mwandishi wa Mtandao huu yuko site kwenye tawi hilo akizungumza na wahusika wa wote.

Habari hiyo itaruka hewani muda si mrefu, hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...