Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, March 23, 2024

JUMBE WA NENIO LA MUNGU

Mthali 14. 24-27

“Taji ya wenye hekima ni

mali zao, bali upumbavu wa wajinga ni upumbavu wao.

Shahidi wa kweli huponya nafsi za watu, bali atoaye Uongo hudanganya.

 Kumcha bwana ni tumaini lmara,watoto wote watakuwa na kimbilio.

Kumcha bwana ni chem chem ya uzima,ili kuepukana na tanzi za mauti”Hilo ndilo neno letu la leo Jumapili ya Mitende[Matawi] kueleke kufufuka kwa bwana wetu Yesu Kristo[Siku Kuu yaPasaka jumatatu ya April Mosi.


 

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...