Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, February 10, 2024

UJUMBE WA NENO LA MUNGU


MITHARI 5.7-10

“Basi wanangu nisikilizeni sasa,wala msiache maneno ya kinywa changu.

Itenge njia yako mbali naye,wala usiukaribie mlango wa nyumba yake.

Usije ukawapa wengine heshima yako, na wakorofi miaka yako.

Wageni wasije wakashiba nguvu zako,kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya wageni.” Hilo ndilo neno letu la leo jumapili ya Februar 11.

                   


                               CAPTION

 Picha. nikiwa na watoto wangu, Tumaini Dustan Shekidele na Mdogo wake Neema Dustan Shekidele.Tukitafuna nyama’Mdudu’ huku nikiwahusia jambo.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...