Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, February 22, 2024

MJESHI BAKKA NA DIARRA WAKAMATWA NA JOTO KALI LA MOROGORO

Waamuzi wakiwaongoza wachezaji wa KMC na Yanga kuingia uwanja wa Jamhuri.
Mkongomani Maxi Nzengel raia wa DR Kongo akimuomba Mungu kabla ya kuingia eneo la kuchezea [Pitch] ya Uwanja wa Jamhuri Morogoro.
                             ....Kikosi cha Yanga kilichonza
Vijana wa Kino Boy, KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoani
waamuzi wakipiga kura na Manahodha wa timu hizo, lengo la kurusha sarafu kwa lengo la kupiga kura ni kwamba manahodha hao wanachagua kugori la kuanza lakipini pia kuchagua nani atakuwa wa kwanza kuanzisha Mpira pale katikati.

                                   Mdaka Mishale Diarra

JUA kali,Kipa namba moja wa timu ya taifa ya Mali Djigul Diarra anayecheza soko la kuliwa katika kikosi cha wananchi Yanga [kushoto] akiwa sambamba na beki kisiki wa wa timu ya Taifa ya  Zanzibar na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ lbrahim Bakka ambaye ni Mwanajeshi wa kikosi cha JKU Zanzibar..

 

 

 

 


                          Na Dustan Shekidelen Morogoro

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...