Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, February 15, 2024

KUMBUKIZI YA VALENTINE DAY.



 


 Dustan Shekidele'Mkude Simba' Kushoto' amefanikiwa kutwaa ubingwa wa kucheza disko baada ya kumshinda bingwa wa kucheza disko Afrika Mashariki na Kati Maneno Ngedele'Super Ngedele'

 

Mpamabo huo mkali ulioshuhudia na umati mkubwa wawatu ulifanyika miaka kadhaa iliyopita kwenye sikuu ya Waendano’Valentine.Day’ndani ya  ukumbi wa Airport uliopo pande za Mazimbu  jirani na kiwanja cha Ndege cha Mkoani Morogoro.

 

lkumbukwe Super Ngedele ni kaka wa damu wa Asha Ngedele aliyekuwa akiigizwa na kundi la Original Komedy

 

Baada ya kuibuka mshindia Shekidele alikabidhiwa katoni la mbili za Soda, ambapo katoni moja aliigawa kwa wanamuzi wa band ya Waluguru Original walioangusha Sebene kali kwenye mpambano huo wa Nani Mtani Jembe kati ya Super Ngedele na Super Shekidele Ez Come Ez Go.

No comments:

Post a Comment

MAJAJI 2 WAHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA KIGOGO WA SUA MAREHEMU DKT MBILU.

         Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa  KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...