Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, December 12, 2023

SHUJAA JUMA VIGOGO KAMA MAJALIWA


 

 Msikie Shujaa Juma Vigogo akieleza A-Z njia ngumu alizopitia ndani ya Maji Mengi ya Morogoro  na kufanikiwa kupata Mwili wa Mtoto Sabrina Abdallah.

lfahamike Juma Vigogo aliogerea umbari mrefu kwenye kina kirefu cha Mji yanayokwenda kasi bila kuwa na kifaa chochote cha kuogerea.

Ikumbukwe Novemba 6 2022 ndege iliobeba abiria kutoka Dar-es salaam kwenda Bukoba alianguka Ziwa  Victoria hatua chache kutoka uwanja wa Ngege wa Bukoka, Kijana Majaliwa Jackson alizama Ziwani na kufanikiwa kuokoa watu wengi waliozama kwenye Ziwa.

Kwa ushujaa huo Rais Samia Suluhu Hassan alimuagiza Waziri wa Mambo ya Ndani kumpa Ajira Kijana Majaliwa kwenye Jeshi la Zima Moto na Uokoaji.

Ingia kwenye Facebook za Dustan Shekidele na ile ya Shekidele mkude simba pamoja Instagram ya Shekidele umsikie Shujaa Juma Vigogo Clip Video

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...