Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, December 27, 2023

KWENYE BITHDAY ZETU TUWAKUMBUKE NA WATOTO YATIMA.




 


Leo Mwana Birthday Dunstan Shekidele amesheherekea kumbukizi ya siku yake ya Kuzaliwa’Happy Barthday’ kwa kula keki na watoto Yatima na wale wenye uhitaji wanao lelewa katika kituo cha Mehayo Kilichopo Kata ya Mazimbu Manispaa ya Morogoro. 
 
Mwandishi huyo aliyezaliwa Desemba 25 Miaka kadhaa iliyopita pamoja na Mesia Yesu Kristo juzi hakufanya sherehe yoyote na badala yake aliamua kufanya sherehe hiyo leo kwenye kituo hicho na kusheherekea siku yake hiyo na watoto hao.
 
Habari kamili na Picha Zaidi za tukio hizo zikiwemo Clip Video zitaruka hewani hivi Punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote usike alichosema Matroni wakituAo hicho.

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...