Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, November 11, 2023

UJUMBE WA NENO LA MUNGU.

Baadhi ya wananchi wakisukuma daladala inayofanya safari  za Kihonda-Mjini baada ya gari hilo kufikiwia na mafuriko ya Maji katikati ya Mji wa Morogoro Mtaa wa Korogwe.
Mtumishi wa Mungu Dustan Shekidele[kulia] akipiga magoti akimuungamia Mungu dhambi zake ndani ya kanisa la KKKT Usharika wa Kihonda jimbo la Morogoro.
 

Zaburi 32.5-6

 “Nalikujulisha  dhambi yangu,wala sikuuficha upotofu wangu.

Nalisema nitayakili Maasi yangu kwa Bwana.

Nawe akanisamehe  upotofu wa dhambi yangu.

Kwa hiyo kila mtu mtauwa akuombe wakati unapopatikana.

Hakika maji makuu yafurikapo hayatamfikia yeye.

’For this shall every one  that is godly  pray unto thee in a time when thou mayest be found surely in the floods of great woters they shall not come nigh unto him’. Hilo ndilo neno letu la Leo Jumapili ya Novemba 12.

                     

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...