Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, November 9, 2023

AFANDE SELE ATINGA MAHAFARI YA WAANDISHI WA HABARI


 

KUMBUKIZI.

Maisha ni safari ndefu, hii ni Mwaka 2004 Mwandishi wa Mtandao huu[Dunstan Shekidele]wapili kutoka kushoto mwenye Joho alipohitimu Mafunzo ya Uandishi wa habari katika Chuo Cha Uandishi wa habari Morogoro’MSJ’

Katika Mahafari hayo Msanii Maarufu wa Muziki wa kizazi Kipya nchini wakati huo akiwa Moto kweli kweli[On Faya] Seleman Msindi’Afande Sele’ Mwenye flana nyeupe alifika kwenye Mahafari hayo kumsapoti Shekidele.

Wa Mwisho Kulia ni Nikson Mkilanya  wakati huo akiwa Mwandishi Mwandamizi wa Magazeti ya Majira, kwa sasa ni Mwenyekiti wa  Chama Cha Waandishi wa habari Morogoro.

Nyuma ya Mkilanya Mwenye Joho ni Cesilia Chausi, nyuma ya Afende Sele ni Samwel Msuya wakati huo akiwa Mwandishi Mwandamizi wa Magazeti ya Mwananchi kwa sasa Msuya ni Mh Diwani wa Kata ya Mbuyuni kwa leseni ya CCM.

lfahamike Mkilanya na Msuya walitangulia kuhitimi Mafunzo ya Uandishi wa habari katika Chuo hicho kilichozarisha Waandishi wengi Maarufu nchini.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...