Mzazi anapokueleza kwamba Mwanangu kuwa uyaone hana maana uyaone Maghorofa ya Mjini au Vichaka vya Kijijini
Ana maana Uyaone maisha yalivyo na Changamoto.
Hasi na Chanya. Negative na Positive,Raha na Shida.
Mwandishi wa Mtandao huu Dustan Shekidele akihangaika kutafuta Maisha, akisaka habari takribani Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro akitumia Usafiri wa Pikipiki akipita kwenye Mabonge, Milima,Misiti Mikubwa na Mbuga za Wanyama wakali, nyakati za Usiku na Mchana.
No comments:
Post a Comment