Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, November 17, 2023

' 'MATAJI WA MSIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE'


 

PICHA YA WIKI.

Hili sio Lori, ni Pikipiki ya Mchina Maarufu Boda boda ambapo mfanyabiasha huyo alinaswa na Mpiga Picha wa Mtandao huu, alinaswa Kijiji cha Mlali Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro akitoka kufunga Mzigo kwenye Mnadani wa soko la Mlali akielekea dukani kwake  Kijiji cha Vitonga Wilaya ya Mvomero.

 Kwa hali hiyo Sipati picha kama simu yake ikiita atakuwa  na uwezo wa kuipokea kwa jinsi alivyojikunya kwenye Pikipiki hiyo.

No comments:

Post a Comment

MTETEZI WAWANYONGE AKALIA VUMBI AKISIKILIZA SHIDA ZA WANANCHI WAKE.

                            Mhe Abood akiketi chini ya vumbi                                 Na Dustan Shekidele,Morogoro. MTETEZI wawan...