Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, October 9, 2023

BEKI NYOTA WA YANGA ASHUHUDIA TIMU YAKE AKIFUNGWA MOROGORO

Beki  wa Yanga Kibwana Shomari’Mluguru Og’ akiwa nyuma ya benchi la Moro Kids akishuhudia gemu.

Wachezaji wa Tanzanite wakishangilia kwa style ya kuwaaga wapinzani wao hao huku wote wakiwa wamechomekea jezi zao Style ya Max Nzingeli Mkongomani wa Yanga wakishangilia ubingwa huo.Picha zote na Dustan Shekidele,Morogoro
 

MOTASOA[TANZANITE ACADEMY] jioni ya leo wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Azam Sports Federation Cup 2023-24 hatua ya ngazi ya Wilaya ya Morogoro, baada ya kuwachapa wapinzani wao wakubwa Moro Kids Academy  kwenye mchezo wa fainali ulipigwa  jioni ya Leo Uwanja wa Saba saba Manispaa ya Morogoro, huku nyota wa Yanga Kibwana Shomari akishuhudia timu yake hiyo ya zamani ikipokea kichapo hicho.

Picha zaidi za matukio  fainali hiyo na Picha nyingine za Kibwana Shomari zitaruka hewani hivi Punde hivyo usikae mbali na mtandao huu muda wote.

                       

  .

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...