Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, September 28, 2023

BODA BODA KUDAIWA KUMUA MWENZAKE KISA DEMU.

Rehema Jacob Mama mzazi wa Marehemu Kassim Steven akizungumza na Mtandao huu
Mwenyekiti wa Mtaa akizungumza leo na Mwandishi wa Mtandao huu
             Marehemu Kassimu Steven enzi za Uhai wake


Baada ya juzi kuposti kwamba naingia mtaani kuifuatilia stori hii kujua A-Z.
 
Habari njema ni kwamba,Stori imekamilika kwa asilimia 95, kwa Rehema Jacob[Pichani aliyejitanda kitenge akizungumza na Mwandishi wa habari hizi[juu ya kifo cha mpendwa mtoto wake Marehemu Kassim Steven.
 
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Fumilwa B Kata ya Mji Mpya Said Ally Ramadhan Jungu.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama akizungumza na Mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. 
 
Asilimia 5 iliyobaki Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu nitaikamilisha kesho, hivyo fullu Stori ya tukio hilo ambalo kwa sasa ndio gumu kwenye mitaa mbali mbali ya Mji wa Morogoro 
Litakamilika hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote kwa habari moto moto za chini ya kapeti

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...