Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, August 1, 2023

MAMIA YA WANCHI WAMZIKA KIGOGO WA SHERIA NCHINI

                        Hayati Luanda enzi za Uhai wake

 

Naibu Waziri  Wizara ya Katiba na Sheria Mh Paulina Gelu[aliyesimama] jana ameongoza Mamia ya wananchi wa Mikoa ya Morogoro,Dodoma na Dar es Salaam kumzika  Mkurugenzi wa Katiba na Ufuatiliaji Haki,  Kharista Michael Luanda.

Kigogo huyo wa Sheria nchini amefariki dunia Julai 27 hospital ya Luganzira jijini Dar es salaam na kuzikwa jana  kijijini kwake Vikenge Kibungo Juu Tarafa ya Matombo Wilaya ya Morogoro Vijijini.

Kushoto aliyeketi ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria  Mary Makondo.

Mwandishi wa Mtandao huu alishiriki mazishi hayo Mwanzo Mwisho.

Habari kamili na picha zaidi zitaruka hewani hivi punde  hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.

 

No comments:

Post a Comment

KIJIWE NONGWA. UKIONA KAFUTA BANGO UJUMBE UMEFIKA

  Na Mpekunyuzi wa Mitandao Dunstan Shekidele.   Kama kawaida mtumishi wako, kila wiki naweka Bando linalonitembeza kwenye Mitandao ya Kijam...