Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, August 13, 2023

AISEE. BOSI WANGU DADA YANGU WA HIYALI AMEZIMIKA KAMA MSHUMAA.


Mwandishi wa Mtandao huu kushoto akishiriki kutoa Mwili wa Mopendwa wetu kanisani na kuingiza kwennye gari.
                               Dada Ketty enzi za uhai wake



 


 Kwa uchunguzi baada ya kupokea taarifa za kifo cha kigogo wa Kiwanda cha Tumbaku Mpendwa wetu Catherine Mapunda ambaye kimsingi ni bosi wangu na dada yangu wa hiyari. Akili ilivulugika nimeshinda kufanya kazi kwa takribani siku 3.

Muda huu 6 usiku nimejikaza na kuwasha Lap Top na kuandika habari hii kwa ufupi, ikimpenda Mungu Kesho kichwa  kikitulia nitarusha  habari kamili na picha zaidi.

Pichani kushoto Mwandishi wa mtandao huu akishiriki kutoa Mwili wa Mpendwa wetu kanisani  na kuingiza kwenye gari  kuelekea Makaburi ya Kolla kumpunzisha kwenye nyumba yake ya Milele.

“Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe”

Nenda salama dada yangu Mpendwa tutaonana baadae, kifo chako cha ghafra kimetumiza wengi.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...