Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, July 9, 2023

UJUMBE WA NENO LA MUNGU


 Mtetezi wawanyonge Dustan Shekidele, akitokeka Kilombero kuwatetea wanyonge.
 

ISAYA 35.8-9
“Na hapo patakuwa na njia kuu na njia nayo itaitwa njia ya utakatifu wasio safi hawatapita juu yake, bali itakuwa kwa ajiri ya watu hao,wasafirio wajapokuwa wajinga hawatapotea katika njia hiyo.
Hapo hapatakuwa na Simba wala Mnyama mkali hatapanda juu yake hawataonekana hapo,bali waliokombolewa watakwenda katika njia hiyo”Hilo ndilo neno letu la leo Jumapili ya Julai 9.
                          CAPTION.
Mwandishi wa Mtandao huu Dustan Shekidele'Mkude Simba'akikatiza katikati ya Mbuga ya Wanyama wakali ya Mikumi umbali wa kilometa 50 akitokea Kilombero akireja Morogoro Mjini kwa usafiri wake wa Pikipiki.
 
Licha ya kupita katika njia hiyo yeye wanyama wakali kama vile Simba, Chui na Tembo, hakuna Mnyama yoyote aliyemsogelea Mwandishi huyo.
 
Ifahamike Kutoka Morogoro Mjini Mpaka Kilombero ni umbali wa takribani Kilometa 140 hivyo kwenda na kuludi ni mzigo wa Kilometa 280.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...