Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, July 9, 2023

BREKING NEWS. MKUU WA MKOA ASHIRKI KUIMBA KWAYA HOTELINI


 


Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh Anthony Mtaka[Pichani kati] jioni ya leo ameshiriki kuimba nyimbo tatu na kwaya ya Wasabato ya Kurasini S.D.A Choir ya Dar es salaam,kwenye hotel ya Glonecy iliyopo Nane nane Manispaa ya Morogoro. 
 
Habari kamili na Picha zaidi za tukio hilo zikiwemo za Video zitaruka hewani hivi Punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.

No comments:

Post a Comment

MTETEZI WAWANYONGE AKALIA VUMBI AKISIKILIZA SHIDA ZA WANANCHI WAKE.

                            Mhe Abood akiketi chini ya vumbi                                 Na Dustan Shekidele,Morogoro. MTETEZI wawan...