Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, July 2, 2023

UJUMBE WA NENO LA MUNGU

Hayati kete Abdallah akimpa neno Mwandishi wa Mtandao huu ambaye pia ni mmoja wawajukuu zake
                         Keke ya sherehe yake ya kumbukizi ya kuzaliwa
                ...Akimrisha keki Mwandishi wa Mtandao huu
.....Mr Mchunguzi akimuaha bibi yake, ifahamike Mchunguzi ni mume wa Pendo Shekidele anayeishi Madale jijini Dar
Elisha Muchunguzi kitukuu akimuaga Mama yake Mkubwa, lfahamike bibi huyo aliyejariwa kuzaa watoto 3 ameacha watoto hao watutu pamoja na Wajukuu, Vitukuu nba vilembwe zaidi ya 100






AYUBU 23.1-6

“Ndipo Ayubu akajibu na kusema.

Hata leo Mashitaka yangu yanauchungu,Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu.

Laiti ningejua Mahali niwezapo kumwona,nifike hata hapo anapokaa.

Ningeweka daawa yangu mbele yake,nakukijaza kinywa changu hoja.

Ningeyajua Maneno atakayonijibu,nakuelewa na hayo atakayoniambia”Hilo ndilo neno letu la leo Jumapili ya Jully 2.

                        CAPTION.

Pichani  Mrembo wangu, Msiri wangu, My Number One.My Wife, Kipenzi cha Moyo wangu Hayati Kete Abdallah[103]  Bibi yangu aliyenizalia Mama yangu Mzazi.

Akinipa neno kwa lungha ya Kisambaa mara baada ya sherehe ya kumbukizi yake ya kuzaliwa alipotimiza miaka 102.

Shehehe hiyo kabambe ilifanyika nyumbani wake Gongo la Mboto ‘Mombasa’ eneo la Moshi Baa jijini Dar es salaam Septemba 30.2017.

 Desemba 22-2019 Mpendwa bibi yangu alifariki dunia.

 Pichani waombolezaji wakiaga mwili wake hospital ya Amana jijini Dar kabla mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwake  Mlalo  Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga kumpunzishwa kwenye nyumba yake ya Milele.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

 Nenda salama bibi yangu kipenzi tutaonana baadae.


 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...