Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, June 29, 2023

KUMBUKIZI., MASHABIKI YANGA, SIMBA NA AZAM HAWAJAFIKIA VIWANGO VYA HAYATI YAMUNGU


 

 
Shabiki Maarufu wa Soka nchini, Mwanachama na shabiki lia lia wa timu ya Reli ya Morogoro’Kiboko ya Kigogo.’
 
Hayati Yamungu enzi za uhai wake akifanya mambo yake kwenye gemu kati ya Yanga na Reli iliyopigwa Uwanja wa Taifa uliopo Kata ya Mgulani Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam. 
 
Nakumbuka katika gemu hii Yanga alikufa bao 1-0 bao hilo pekee la Reli likufungwa na David Mihambo akipokea basi ya Mbuyi Yondani. tukatoka uwanja wa Uhuru tukiwa na furaha tukielekea kambini hotel ya Shengena inayomiliwa na Wapale iliyopo Manzese Darajani nyuma ya Tip Top.
 
Licha ya shabiki huyo kufariki dunia takribani miaka 14 iliyopita hadi sasa hakuna shabiki yoyote nchini wakiwemo wa Simba na Yanga aliyefikia kiwango cha ushabiki cha hayati Yangu Mpongole wa lfakara[Mwana wa Pakaya’] 
 
Tutakukumbuka daima Shabiki Yamungu
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
“Tangulia Kamanda tutaonana baadae”

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...