Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, July 20, 2023

TECHNOLOGY BHANA KWA SASA KILA MTU NI PAPARAZI.

 

Hii Kali Mdau Mmoja wa Mtandao huu anayeishi Jijini Arusha[Jina linahifadhiwa kwa sababu maalumu.

Kwenye mchezo wa hisani kati ya timu Mwamnyeto Foundation  na Moro Combine uliopigwa Julai 7  Uwanja wa Jamhuri Morogoro.



 

Wakati wa Mapunziko  Mpiga Picha wa Mtandao huu Dustan Shekidele [Pichani mwenye kikoti na begi begani] alisalimiana na   Mtangazaji   Mwandamizi Azam Tv Patrick Nyembera[Kulia aliyeketi].

Wanahabari hao walipokuwa wakisalimiana na kupiga stori mbili tatu kamera za Azam tv zilizokuwa Mubashara uwanjani hapo ziliwamurika, hivyo Mdao huyo wa jijini Arusha aliyekuwa akifuatilia mchezo huo kupitia Luninga akiwa jijini Arusha alinyofoa kipande hicho na kumrushia Pichani Shekidele kupitia Mtandao wa Whatsapp na Picha zenyewe ni hizo.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...