Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, July 22, 2023

KUELEKEA TAMASHA LA SIMBA DAY AGOST 6.

Mwamba sana akiwasili Morogoro na Anitha[Baiskeri] akitokea Bukoba


Mwanachama wa Simba Odax Alphonce[30]aliyefunga safari kutoka Bukoba Mkoani Kagera kwa usafiri wa baiskeri akielekea  Dar es salaam kwenye tamasha la Simba Day, amewasili leo Mkoani Morogoro na kupokewa na wachama wa Simba tawi la Shujaa.

Habari kamili na Picha Zaidi za tukio hili zitaruka hewani hivi punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.


 

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...