Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, July 10, 2023

MAOMBI MAALUMU KWA MH MBUNGE


 

KUMBUKIZI.

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OCTOBAR 25 2015, MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI KIPENZI CHA WANA MOROGORO,MH ABDULLAZIZ MOHAMED ABOOD ALITINGA KANISA LA ROMANI KATOLIKI JIMBO LA MOROGORO NA KUFANYIWA MAOMBI MAALUMU NA  PADRI ARON TEMWEKA[KUSHOTO]

MH ABOOD ALITINGA  KANISA HAPO KWA MWALIKO WA KWAYA ILIYOKUWA IKIZINDUA ALBAM AMBAPO ALIICHANGIA  LAKI 5,

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...